Mimi ni mwalimu wa Kiswahili mtandaoni, nina digrii lugha na uzoefu wa kufundisha wa miaka mitano nakukaribisha uungane na mimi na ujifunze Kiswahili njia zangu za kufundishia ni zoom & ppt rekodedi, yutubu na sype. Karibu wote.
Mimi ni mwalimu wa mtandaoni wa Kiswahili, nina digrii ya ufundishaji wa lugha na uzoefu wa kufundisha wa miaka 5, nakukaribisha uungane nami na ujifunze Kiswahili njia zangu za kufundishia ni zoom na PPT zilizorekodedi
Mada za Kiswahili nitakazokua nafundisha ni
-Swahili kwa wanao anza
-Swahili kwa wasafiri
-Sarufi ya Kiswahili
-Kuandika na kuzungumza kiswahili.
Mimi ni mwalimu wa Kiswahili mtandaoni, nina shahada ya lugha na uzoefu wa kufundisha wa miaka 5, wale ambao wana hamu ya kujifunza Kiswahili tafadhali ungana na kituo changu Njia yangu ya kufundishia ni zoom mtandaoni, ppt zilizo rekodiwa, YouTube na skype