*Nina ujuzi wa kufunza lugha ya kiswahili kwa muda wa miaka zaidi ya 5.
*Mzaliwa wa Kenya 🇰🇪 kiswahili ndio lugha yangu ya kwanza.
*Nafunza jinsi ya kuzungumza na kuandika lugha
ya kisawahili.
*Kuna somo la jaribio linalo husu maneno rahisi ya kiswahili.
*Masomo 20 utaweza kuzungumza lugha ya kiswahili kwa urahisi.
*Utaweza kuzungumza maneno ya kiswahili, kusalimia na hata kuandika vyema.
*Nafunza kulingana na mahitaji yako,unachopenda na unachotaka kukijua.
*Kuna masomo ya ziada ntakayo kupa ufanye kwa muda wako.
*Natumia mbinu mbali mbali na vifaa vitakavyo kuwezesha kuelewa kwa urahisi.
*Ukishindwa kuhudhuria darasa unahitaji kunijulisha masaa 12 kabla.
*