Shahada ya kwanza ya Elimu
Uzoefu wa miaka 4+ kufundisha watoto(6-11) na watu wazima wanaoanza kujifunza Kiswahili
Masomo na kozi kulingana na mahitaji yako
Nitakurahisishia kozi uweze kufikia malengo yako kwa muda mfupi iwezekanavyo
Watoto(miaka 6-11) na watu wazima wanaoanza kujifunza lugha
Baada ya masomo 15 utakuwa umeanza kuwasiliana kwa kutumia sentensi rahisi
mwalimu wa kirafiki, mwenye subira na anayewashirikisha wanafunzi
Shahada ya kwanza ya Elimu
Nimekamilisha masomo yangu ya Diploma ya Elimu ya watoto wa Chekechea
Nina uzoefu wa kufundisha wanafunzi wa tabaka mbalimbali
Ukitaka kuhairisha somo, tafadhali mjulishe mwalimu na ughairi masaa 12 kabla ya somo