Salama! Mimi ni Patrick, nina shahada ya Jeografia na ninafanya kazi sana kwa Amazing talker. Wanafunzi hununua bidha yangu mara kwa mara. Kuwa mmoja wao. Tutakuwa na wakati mzuri: wewe na mimi. Utafaidika. Nakungojea. Soma habari hapa chini.
Ninataka kufundisha wanaoanza na wale ambao ni wa kati na wale ambao wameendelea.
Chukua masomo kumi nami na utakuwa na ujuzi zaidi. mtajifunza kiswahili cha kuzungumza, kiswahili cha kuandika, sarufi, kusoma na msamiati...
Mimi ni mwalimu makini, wa kawaida na mwenye nidhamu.
Darasa langu linavutia sana. Kuna vitu vingi ambavyo utapenda ambavyo ni vya kipekee. Kama mfumo wangu wa kufundisha, vifaa vyangu, jinsi ninavyovionyesha. Hautawahi kuwa na wasiswasi au kuchoka. Kwa mfumo unaounganisha utaona kwamba kila kitu kinahusiana.